Huyu hapa kocha mpya wa Singida United


Ahmed Moroko ni kocha mpya aliyetambulishwa jioni hii Jijini Arusha baada ya mchezo wa Fainali ya kombo la Shirikilo la Azam 2018  ambapo Singida United imechapwa goli 3 kwa mbili na klabuua Mtibwa Sugar ya Morogoro.

Moroko amesema kuwa amepokea viatu vya kocha Pluijim ambaye kwa sasa amesajili kwenye klabu ya  Azam.

Moroko ameipokea timu hiyo ikiwa imepoteza mchezo wa Fainali kwa kukosa ushindi kwenye ligi hiyo.

Post a Comment

Previous Post Next Post