Sam wa Ukweli afariki Dunia, kabla kufariki adai kulogwa


Msanii wa Bongo Flavour aliyetamba na kibao vha sina raha na hata kwetu wapo Sam wa Ukweli afariki dunia usiku huu kwenye Hospital ya Palestina Sinza  alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu.

Sam wa Ukweli amefariki majira ya saa nane usiku wa leo Alhamisi tarehe 7 Jun,i 2018 ambapo ni siku tano tangu kufikishwa Hospitalini hapo siku ya jumamosi kwa ajili ya matibabu.
Mwili wa Marehemu umetolewa Sinza upo kwenye hospital ya rufaa ya Mwananyamala.

Producer aliyekuwa akifanya kazi pamoja na Sam wa Ukweli Stave amedai kuwa Same aliwaeleza kuwa anaumwa ukimwi lakin sio wa kawaida amelogwa.

24Sevenupdater itakusogezea taarifa zaidi .


Post a Comment

Previous Post Next Post