Sitaki Mwanangu apite nyayo zangu -Gigy Money



Na Aminah Kasheibar
Nyota wa muziki wa bongo fleva Gift Stanford  'Gigy Money' amefunguka kisema kuwa hataki Mwaye aliyejidunguabhivikaribuni hataki aisha maisha aliyoyapitia yeye na kuhusiana na maisha mpya anayoishi.
Gigy money amesema kwasasa amerudi rasmi kwaajili ya kufanya kazi kwa bidii ili mwanae apate kuishi maisha bora kama watoto wengine.
Amesema kuwa hataki maisha niliyoishi mimi mwanangu aje kupitia jambo ambalo silihitaji litoke kabisa ukiangalia bado nina nguvu ya kufanya kazi kwa juhudi zote.
"Maisha ninayoishi sasa ni ya kusaka pesa ili mwanangu apate kuishi maisha bora kama watoto wengine wanavyoishi kama mama nitajitaidi kwa hali na Mali.
"Maisha niliyopitia mimi sitaki mtoto wangu aje kupitia ukizingatia Ni maisha magumu  si mazuri kupitia mwanadamu, " amesema.

Gigy money amesema hataki kuzungumziwa maisha anayoishi sasa hivyo ikiwa ndio alivyoamua ili mwanae aje kuishi Katika mazingira Mazuri.

Post a Comment

Previous Post Next Post