Rais John Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wanne wa Jeshi
la Magereza kutoka Naibu Kamishna wa Magereza hadi kuwa Kamishna wa Magereza.
Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo Juni 2, 2018 na
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, Gerson Msigwa, ambayo iko chini.