Chama cha Chadema kimetoa neno kuhusu hatua ya Mkurugenzi wa
Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa kutoa taarifa ya uteuzi wa wajumbe wawili wa Halmashauri
Kuu ya CCM uliofanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Dkt. John magufuli. Taarifa
ya chadema iko hapo chini.