Rais Magufuli aguswa na kifo cha mapacha walioungana


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ametuma salamu za rambirambi na kuwa Pole Familia ya mapacha wawili Maria na Consolata walifariki usiku wa kuamkia leo.

Maria na Consolata wamefariki katika Hospital ya  wa iringa walipokuwa wakitibiwa matitizo ya moyo.
Mapacha walikuwa wakisoma kwenye chuo cha Ruaha Mkoani Iringa.
Rais Magufuli anawatambua  mapacha hao waliokuwa wanauwezo mzuri darasani Januari 6 Mwaka huu aliwatembelea kwenye Hospital ya Taifa Muhimbilo (Taasisi ya Moyo walipokuwa wanatibiwa.




Rais Magufuli ameleeza kuwa anatambua ari na malengo ya mapacha hao ambapo waliazimia kulitumikia taifa baada ya kumaliza masomo yao.

Post a Comment

Previous Post Next Post