Maombi ya wadau wa habari kupinga sheria ya mtandaoni yatupwa na mahakama
byUnknown-
0
Serikali imeshinda kesi iliyofunguliwa na wadau wa habari
nchini katika Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara, ya kupinga kanuni za maudhui
mitandaoni za mwaka 2018.
Taarifa hiyo imetolewa leo kwa umma na Msemaji
Mkuu wa serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo, Dkt. Hassan Abbasi,
ambayo iko chini.