Mkufunzi mkuu wa Klabu ya Arsener Mzee Aesne Wenger ambae atamaliza ataachia ngazi mwihoni mwa msimu huu, amesema ana ofa nyingi kutoka vilabu tofauti ambazo zinahitaji huduma yae
Wenger amesema hakutarajia kupata ofa hizo baada ya kutangaza kuondoka Arsenal mwishoni mwa msimu huu.
Wenger ambae alikifunza timu ya Arsenal kwa miaka 22 anatarajiwa kubaki katika nafasi ya uongozi ndani ya klabu hiyo aliyojiunga nayo mwaka 1996.
Kwa sasa wenger amebakiza michezo kadhaa na atakuwa kwenye benchi kuiongoza Arsenal katika mchi zake 2 za mwisho dhidi ya Leister City na Hudderfield Town.
