Nape kwa madongo check hili



Baada ya Nape Nnauye Mbunge wa Mtama kuweka wazi kuzuia Shilingi ya Waziri wa Kilimo Charles Tizeba katika kusomwa kwa bajeti  ya wizara hiyo bungeni.

Nape Kupitia Ukurasa wake wa mtandao wa Twitter ameeweka dongo hili "Hoja hujibiwa kwa hoja sio kwa rungu.


Nape amekuwa akiwachallange mawaziri mara kadhaa tangu alipotenguliwa kwenye nafasi ya uwaziri wa Habari,Sanaa, Utamaduni na Michezo mwaka 2017.

Post a Comment

Previous Post Next Post