VIDEO: Maamuzi ya Serikali kwa halmashauri zisizotenga Asilimia 10 kwa ajili ya mikopo


Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Joseph Kakunda ametoa agizo kali kwa halmshauri zote nchini ambazo hazitakamilisha agizo la serikali la kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo kwa wanawake na Vijana ambazo zinapaswa kusaidia makundi hayo katika kujiendeleza kibiashara.

BONYEZA HAPA CHINI KUTAZAMA ALICHOSEMA pia usisahau kusubscribe Youtube Channel yetu ili uwe wakwanza kupata Video pindi tunapoziweka.

Post a Comment

Previous Post Next Post