Mwenyekiti wa TEF ajiuzulu


Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga ametangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo. Mkutano Mkuu wa dharura uliofanyika jana umeridhia kujiuzulu kwa kiongozi huyo.


Post a Comment

Previous Post Next Post