Mabingwa wapya wa Ligi kuu ya Vodacom nchi wekundu wa Msimbazi imemsainisha mkataba mpya Shiza Kichuya na Kiungo wake Muzamiru Yasin.
Kaimu Rais wa Klabu ya SimbaSalimu Abdalla maarufu kama Try Again ameweka wazi kuwa Klabu hiyo haitakubali kuondoka kwa mchezaji yeyote wanayemtaka kuondoka kwenye klabu hiyo.
Wachezaji hao wawili watangana na Simba leo nchini Kenya ambapo mchuano wa SportPesa utaanza leo .
Tyr Again ameeleza kuwa yupo mchezaji mwengine ambaye ataambatana pamoja na wachezaji hao kwenda Kenya kushiriki ligi hiyo
Simba itaanza game yake ya kwanza siku ya Jumatatu dhidi ya Kariobang Sharks kuanzia mida ya saa 9 mchana.
