VIDEO: Sugu alivyotikisa bunge leo


Baada ya kupokelewa kwa Kishindo cha Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), kimesimamisha shughuli za Bunge kwa muda wa dakika takribani 2 ikiwa ni mapokezi yake ndani ya bunge kwa mara ya kwanza tangu atoke gerezani.

Baadaye kidogo Sugu alipewa nafasi ya kuuliza swali la nyongeza kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eliasi Kuandikwa  ambapo alikuwa akiichallange sheria ya makosa ya mtandaoni.

Fuatilia video hiyo hapo chini kisha Subscribe channel yetu  Youtube ya 24Sevenupdater .


Post a Comment

Previous Post Next Post