Kauli ya Nape baada ya Kinana kujiuzulu


Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ametoa kauli ya kumuenzi aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi CCM Abdarahaman Kinana kutokana kujiuzulu kwake.

Nape ameandika ujumbe mzito kwenye kurasa yake ya mtandao wa twitter alioiwasilisha pamoja na picha ya harakati za kampeni walizokuwa pamoja yeye na Kinana.
Jana Halmashauri kuu ya chama hicho iliridhia barua ya kujiuzulu kwa Katibu huyo na kumtakia mapumziko mema.

Post a Comment

Previous Post Next Post