Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini-LHRC, Dkt. Hellen Kijo-Bisimba ameng'atuka rasmi kwenye wadhifa huo aliodumu nao kwa muda mrefu.
Taarifa za kung'atuka Dkt. Bisimba zilitolewa jana mEI 28, 2018 na kituo hicho, ilipomtangaza Wakili Msomi, Anna Henga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake mpya.
Kufuatia mabadilio hayo, chama cha ACT-Wazalendo kilitoa pongezi kwa Mkurugenzi Mtendaji mpya, Henga kwa uteuzi huo.
Pia, kilimpongeza Dkt. Bisimba anayeondoka katika wadhifa huo, kwa kuiongoza LHRC kuwa ki
