Dkt. Bashiru akabidhiwa ramsi ofisi na Kinana


Katibu Mkuu mpya wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amekabidhiwa rasmi ofisi na mtangulizi wake, Abdulrahman Kinana.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo Mei 31, 2018 katika ofisi ndogo za chama cha CCM zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam.


Mnamo Mei 29, 2018 Dkt. Bashiru alipitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM- NEC kuwa katibu mkuu wa chama hicho baada ya Kinana kujiuzulu.

Post a Comment

Previous Post Next Post