Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Khadijha Shabani Taya
maarufu kama ‘Keisha’ ameteuliwa na chama cha CCM kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa kutoka Tanzania Bara.
Taarifa ya uteuzi huo ilitolewa jana na Katibu wa Itikadi na
Uenezi CCM, Humphrey Polepole ambayo iko hapo chini.