Kiongozi wa Chama cha Act-Wazalendo Zitto Kabwe ametoa kauli baada ya serikali kulitaka gazeti la Mwananchi liombe radhi.....
"Vipengele vya ushawishi wa kijamii (pia unajulikana kama alama za mamlaka ya kijamii) ni kipimo cha mtu binafsi au alama ya kufikia kwenye mtandao.
Klout, iliyoanzishwa mwaka 2009, na Kred, iliyoanzishwa mwaka 2011, ni programu mbili ambazo bidhaa na watu binafsi hutumia kupima kufikia na kuathiri njia zote za kijamii."
Zitto ametoa lalamiko hilo kupitia Mtandoa wa Twitter akiwa ana comment taarifa ya Msemaji wa Serikali Dr Hassan Abbas.
