Yussuf Poulsen - Raia wa Denmark mwenye asili ya Tanzania ameitwa katika kikosi cha awali cha wachezaji 35 wa timu ya taifa ya Denmark watakaoshiriki Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, Baba mzazi wa Yussuf anatokea mkoani Tanga na mama yake Denmark.
