Nyota wa Timu ya Taifa- Taifa
Stars, Mbwana Samatta ambaye pia anakipiga katika klabu ya KRC Genk ya nchini
Ubelgiji yuko Mecca nchini Saudia Arabia kufanya ibada ya Umrah.
Mchezaji huyo wa kimataifa
aliambata na mchezaji mwenzake wa KRC Genk ambaye ni raia wa Gambia, Omary
Colley.
Samatta amekwenda Nchini Saudia
Arabia baada ya ligi kuu ya Ubelgiji kumalizika.

