VIDEO: Mange Kimambi alivyopongezwa na Jeshi la Polisi


Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amempa pongezi mwanaharaki wa mitandao ya kijamii anayeisha nchini Marekani Mange Kimambi.
Mambosasa ametoa kauli hiyo akizungumza na waandishi wa habari.

TAZAMA VIDEO YOTE HAPA CHINI

Post a Comment

Previous Post Next Post