Lacazette, Bellerin wazichapa mazoezini


Wachezaji wa Arsenal, Alexandre Lacazette (kushoto) na Hector Bellerin wakiwa wameshikana wakitaka kugombana kufuatia kukutana hewani wakigombea mpira wa juu mazoezini leo kujiandaa na Nusu Fainali ya kwanza ya Europa League kesho dhidi ya Atletico Madrid Uwanja wa Emirates, London.

Post a Comment

Previous Post Next Post