Katika mazingira ya kawaida ukikutana na hii picha hauwezi kuamini kama imechorwa tena kiustadi, kwa macho ya harakaharaka unaweza kusema ilipigwa na mtu kwa kutumia kamera lakini amini usiamini huu ni mchoro ambao umechorwa na mtaalam wa uchoraji wa 'Oil painting' kutoka nchini Nigeria, Silas Onoja.
Tags:
Picha

