VIDEO: Wema Sepetu achafua hali ya hewa mtandaoni baada ya kumwaga radhi
byUnknown-
0
Msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia sehemu kubwa ya mwili wake live wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.
Picha na kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Wowowoukipigwa