Rais Magufuli awaonya wanaopanga maandamano


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli ametoa onyo kali kwa Mtanzania yoyote atakayejaribu kuandamana na kusema wanataka watu waache kufanya kazi ili waandamane.
“Wapo watu wanapenda tuache kufanya kazi tuende barabarani tukaandamane, ngoja wafanye waone, kama kuna watu wanawatuma wataenda kuwasimulia vizuri” –Rais Magufuli

Post a Comment

Previous Post Next Post