Ikiwa ni mchezo wa
pili kwa klabu bingwa nchini Tanzania kuendeleza ushindi kwa mikwaju ya penati
kama ilivyoichapa Kariobangi Sharks na hatimaye leo kuichapa Kakamega kwa
Mikwaju 5- 4.
Mabingwa
hao wanaondeleza ubabe nchi jerani ya Kenya kwenye mashindano ya SportPesa
ilitoka sare ys 0-0 kwenye dakika 90 na baadaye kuamuliwa kupigwa mikwaju ya
penalti
Baada
ya hapo ikawa ni mikwaju ya penalti na wachezaji wote watano wa Simba walifunga
wakiongozwa na Jonas Mkude ambaye alifunga penalti ya mwisho. na wengeine ni
Niyonzima , Erasto Nyoni, Kapombe na Shiza Kichuya
