Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa bodi hiyo Abdul-Razaq Badru kupitia vyombo vya habari ambapo ameeleza kuwa sifa stahili za mikopo ni zile ambazo bodi imezitangaza.
Amesema kuwa utararibu wa mikopo kwenye ngazi hiyo kwa mwaka huu hatakupo mpaka ambapo HESLB itakapotangaza tena.

