Video: "Liwalo na liwe" - Mbowe, Zitto


Ikiwa ni siku kadhaa baadaa kifo cha aliyekua Mbunge wa Buyungu mkoani Kigoma, Kasuku Bilago (Chadema) kufariki dunia, chama cha ACT- Wazalendo na Chadema kimeungaa na kufanya maamuzi kuhusu Ubunge wa Jimbo hilo. 
kuna mengi yamezungumzwa kuhusu makubaliano hao,

TAZAMA VIDEO NZIMA HAPA CHINI


Post a Comment

Previous Post Next Post