VIDEO: Shuhudia mbwembwe za mchekeshaji Joti baada ya Team Samatta kushinda leo

Leo katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam ilichezwa game ya hisani kati ya Team Samatta na Team Kiba ambapo pesa za viingilio zimeelekezwa katika misaada ya Elimu nchini.

Game hiyo iliisha kwa Team Samatta kuongoza kwa goli 4 kwa 2, game ilijaa vituko kibao moja wapo ya vituko hivyo ni baada ya mechi kuisha mchekeshaji Joti ambaye ni Msemaji Mkuu wa Team Samatta aliyafanya haya,....

BONYEZA HAPO CHINI KUTAZAMA MWANZO MWISHO

            

Post a Comment

Previous Post Next Post