VIDEO: Hii ndio filamu pekee ya Nabii Mswahili iliyofika Jela


24SevenUpdater imefanya Exclusive Interview na msanii Madeba Lidai (Nabii Mswahili) ambapo amefunguka kuhusu issue ya filamu zake ambazo anazikubali zaidi, lakini kikubwa ambacho haukifahamu ni kuhusu filamu ya pekee aliyoifanya msanii huyo hadi kufika Jela ,...

BONYEZA HAPO CHINI KUTAZAMA

Post a Comment

Previous Post Next Post