Watumishi watatu wa kituo cha uwekezaji cha Taifa TIC wamefariki na wengine wawili wamejeruhiwa baada gari waliyokuwa wakisafaria kupata ajali.
Watumishi hao walikuwa wakitoka Dar es Salaam kuelekea jijini Dodoma kwa shughuli za kazi njiani eneo la Msoga wamepatwa ajali hiyo.
Watumishi hao ni pamoja na Zakaria Kingu, Said Amri na Martin Masalu.Mungu azilaze roho za marehemu mahala panapostahili.

