Majibizano ya Zitto na Msemaji wa Serikali



Katika Hali isiyokuwa ya Kawaida Msemaji wa Serikali Dk Hassan Abbas ameibuka kwenye mtandoa wa kijamii na kumjibu papo hapo Kiongozi wa Chama Cha Act-Wazalendo Zitto Kabwe.

Zitto aliyeituhumu serikali kutokana kushindwa kutofuta soka la wazi katika zao la Mbaazi ambalo cha cha Act-Wazalendo walikuwa wakilupigia kelele juu ya soko la zoa hilo .

Wakulima wa Zao hilo kwa mujibu wa Act-Wazalendo wamekuwa njia panda kwa kosa soko la zao hilo na kujikuta kuwa wamepoteza muda, nguvu na fedha katika kulima kilimo hiko.
Act ilibua hoja kwa vyombo vya habari na kueleza kuwa kwenye nchi India lipo soko lenye Thamani na uhitaji mkubwa wa zao hilo .




Msemaji wa Serikali bila kusita amemjibu Zitto kuwa anayaongelea masuala hayo kisiaa ilhali hayana uhalisia.


Post a Comment

Previous Post Next Post