Arsenal wamtangaza Emery kumrithi Wenger


Uongozi wa klabu ya Arsenal umemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha wa PSG ya Ufaransa, Unai Emery kuchukua mikoba ya Arsene Wenger ambaye alitangaza kustaafu kuitumikia timu hiyo baada ya kuifundisha kwa miaka 22.

Post a Comment

Previous Post Next Post