VIDEO: ACT-Wazalendo waibuka, watoa msimamo Zitto Kabwe kuwa hatarini
byUnknown-
0
Baada ya kusambaa kwa taarifa za kuwa Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo kuwa anawindwa, Katibu Mwenezi wa Chama hicho Ado Shaibu ameibuka na kutoa msimamo wa chama. TAZAMA VIDEO YOTE HAPA CHINI