Picha ya siku [Ajali]


Gari la Polisi Kisiwani Mafia lililopata ajali baada ya kufeli  break kwenye eneo la Bandari ya kisiwa hiko na kutumbukia kwenye kina cha Bahari ambapo askari aliyekuwa akiendesha gari hilo amenusurika kufa baada ya kujitosa baharini.

Post a Comment

Previous Post Next Post