Taarifa iliyotufikia ni kuwa gari iliyokuwa imebeba askari wa paredi waliokuwa wakitokea jijini Dodoma limepata ajali maeneo ya Mikese, Maseyu mkoani Morogoro baada ya kugongana na gari aina ya Noah. Taarifa kamili tutakuletea...