Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli leo Aprili 15, 2018 amefanya uteuzi wa Majaji 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali.
Soma hapa uteuzi huo kupitia taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.