Manara awananga mashabiki wa Simba


Mkuu wa Habari na Mawasiliano kwa Klabu cha Simba nchini Haji Manara amesikitishwa na kitendo cha Mashabiki wa Klabu hiyo kulalamika kuhusu Mwalimu wa Klabi hiyo .

Manara amesema kuwa Mashabiki wa Klabu hiyo wamekuwa wakilamu orodha ya wachezaji kabla ya mechi lakini wanaposhinda husahau kwamba walaumu na kuanza kushabikia kwa kishindo.

Manara amesema kuwa hali hiyo haipo kwenye Klabu hiyo bali timu zote duaniani mashabiki hawaachi kulalamika.

Akizungumzia ubingwa ulitwaa timu hiyo wa ligi kuu bara (VPL) na kudai kuwa ushindi huo ulimtoa machozi kutokana na kukumbuka hujuma walizokuwa wakikutana nazo.

Post a Comment

Previous Post Next Post