Rais Magufuli amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kupitia SUMA-JKT kilichopo Mgulani Jijini Dar es Salaam.
Kituo hiko kina kiwanda cha Ushonaji, Maji, Chuo cha Ufundi Stadi, Shule ya Sekondari Jitegemee na Ukumbi wa Mikutano.
Huu ni muelendelezo wa adhima ya Rais Magufuli juu ya mapinduzi ya uchumi wa viwanda

