Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya 23 inatarajiwa kuendelea leo Jumapili ya Aprili 8-2018 kwa jumla ya michezo minne kama ifuatavyo..
Mchezo wa kwanza- Mbeya City vs Azam FC 16:00 jioni (uwanja wa kumbukumbu ya sokoine, Mbeya)
Mchezo wa pili- Stand United ‘chama la wana’ vs Njombe Mji 16:00 jioni (CCM Kambarage.
Mchezo wa tatu- Ndanda FC vs Kagera Suger 16:00 jioni (Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara)
Mchezo wa nne- Ruvu Shooting vs Wajelajela Tanzania Prisons 16:00 jioni (Uwanja wa Mabatini, Mlandizi)
