Ziada Nongwa ni Mwanamke aliyetekwa tangu Juni 12, 2017 na kuacha mtoto mchanga wa siku 20 katika kijiji cha Mapaloni Wilayani Kibiti.
Familia yake imeeleza kuwa Ziada alitekwa baada ya kuvamiwa na watu wasiofahamika ambao walivalia kininja na kuondoka naye kuhu akiacha mtoto mchanga wa siku 20 ambaye alikuwa akimnyonyesha.
Fatuma Amiri, Mama mzazi wa Ziada ameiambia 24SevenUpdater kuwa usiku wa saa 1o wa Juni 12 mwaka 2017 na hadi sasa Ziada ajaonekana wala kujulikana alipo.
Tazama Mama mzazi akisulia ilivyokuwa hapo chini na usisahau Ku-Subscribe 24SevenUpadater.
