Alichofanya Diamond baada ya kukutana na Alikiba Msibani

Wanamuziki wa kizazi kipya Alikiba na Diamond wamekutana uso kwa uso katika hafla ya kumuga aliyekuwa Video Queen Agness Gerald marufu kama Agness Masogange iliyofanyika viwanja vya Leaders, Dar es Salaam

Alikiba ndiye alikuwa wa kwanza kufika viwanjani hapo ambapo alikaa upande wa kushoto na baadae aliwasili Diamond na timu yake ya WCB akiwemo Harmonize na kukaa upande wa kulia mwa meza hiyo huku Harmonize akikaa karibu na Alikiba

Muda mchache baadaye Diamond alimfata Alikiba na kumpa mkono kwa lengo la kumsalimia.

Post a Comment

Previous Post Next Post